Wachezaji Simba wapewa mapumziko ya sikukuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2019
Wachezaji Simba wapewa mapumziko ya sikukuu

Wachezaji wa klabu ya Simba leo wamepewa mapumziko wajiunge na familia zao kula sikukuu

Baada ya kurejea kutoka Msumbiji juzi, wachezaji hao hawakupumzika, jana waliendelea na program za mazoezi

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Patrick Aussems ndiye aliyetoa ruhusa hiyo leo

Simba inatarajiwa kurejea mazoezini kesho kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’