Mchezo wa Ngao ya Jamii unaweza kurudishwa Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Aug 2019
Mchezo wa Ngao ya Jamii unaweza kurudishwa Dar

Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Azam Fc ambao umepangwa kupigwa August 17 kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa, huenda ukarudishwa Dar

Inaelezwa kuna majadiliano ambayo yanafanyika kuurudisha mchezo huo dimba la Taifa

Simba na Azam zote zinashiriki michuano ya CAF, baada ya mchezo huo zitakuwa na majukumu ya Kimataifa siku chache baadae

Simba mabingwa wa Ngao ya Jamii kwa misimu miwili mfululizo, walirejea jijini juzi kutoka Msumbiji walikotoka suluhu ya bila kufungana dhidi ya UD Songo

Baada ya kuwasili kocha Patrick Aussems aliwarejesha moja kwa moja wachezaji wake mazoezini ambapo jana walifanya mazoezi

Aussems amesema kwa sasa wanajiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’