Dili la Salamba Afrika Kusini lakwama, kuitumikia Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Aug 2019
Dili la Salamba Afrika Kusini lakwama, kuitumikia Namungo Fc

Mshambuliaji wa Simba Adam Salamba ataitumikia Namungo Fc kwa mkopo

Awali Salamba alikwenda Afrika Kusini kufanya majaribio klabu ya TS Sporting inayoshiriki ligi daraja la kwanza

Hata hivyo inaelezwa mpango wa kujiunga na timu hiyo ulikwama na hivyo nyota huyo kurejea Tanzania ambapo klabu ya Namungo imemsajili kwa mkopo

Salamba alitua Simba msimu uliopita akitokea Lipuli Fc akiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri

Hata hivyo alishindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza mbele ya Kagere, Bocco na Okwi aliyetimkia Misri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’