Simba yajifua uwanja wa Gymkhana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Aug 2019
Simba yajifua uwanja wa Gymkhana

Kikisi cha Simba jana Jumamosi jioni kilicheza mechi ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo nchini Msumbiji na fasta kikarejea nchini na asubuhi ya leo wamefanya mazoezi kujiandaa na mechi yao ya Ngao ya Jamii ya wikiendi ijayo na ile ya marudiano ya CAF.

Mara baada ya mchezo huo Simba walirudi nchini na kufika saa 6 :00 usiku huku baadhi ya wachezaji wakienda kambini na wengine majumbani kwao.

Kocha wa Simba, Patrick Aussems katika kuhakisha kikosi hiko hakifanyi mzaha mapema asubuhi ya leo walifanya mazoezi katika uwanja Gymkhana.

Mazoezi hayo walianza saa 10:30 asbh huku wakiwa katika makundi mawili tofauti.

Kundi la kwanza lilikuwa wale wachezaji waliocheza katika mechi ya jana na walifanya mazoezi pekee yao na muda mwingi wakiwa wananyoosha viungo.

Kundi la pili walikuwa wale wachezaji ambao hawakucheza na wengine hawakusafiri na timu na walikuwa wakifanya mazoezi ya kukimbia uwanja mzima.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’