FT : UD Songo 0-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Aug 2019
FT : UD Songo 0-0 Simba

Mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali kati ya UD Songo dhidi ya Simba, umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Mchezo huo uliopigwa jiji la Beira, uliwashuhudia wekundu wa Msimbazi wakipata matokeo muhimu ambayo yanawaweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele

Simba inahitaji kushinda mchezo utakaopigwa jijini Dar es salaam wiki mbili zijazo

Wenyeji UD Songo walitengeneza nafasi nyingi lakini washambuliaji wao hawakuweza kuliona lango lililokuwa chini ya Beno Kakolanya

Simba nayo ilitengeneza nafasi kadhaa ambazo zilipotezwa kwenye kila kipindi na nahodha John Bocco na Shiboub ambaye mpira wake wa kichwa uliokolewa na mlinda lango wa Songo

Timu hizo zitakutana tena jijini Dar es salaam kati ya August 23-25 kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
34m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’