Maafa Morogoro, poleni ndugu zetu

Admin By Admin
β€’
10 Aug 2019
Maafa Morogoro, poleni ndugu zetu

Zaidi ya watu 61 wamefariki dunia mkoani Morogoro leo baada ya lori la mafuta ya petroli kupinduka na kuwaka moto eneo la Msamvu

Lori hilo liliwaka moto muda mfupi baada ya wananchi kulivamia kuchota mafuta

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema miili ya watu 61 imepatikana

Kulingana na mashuhuda wa tukio hilo, baada ya lori hilo kupinduka, wananchi walilivamia na kuchota mafuta yaliyokuwa yakimwagika

Ghafla mlipuko huo ulitokea na kusababisha vifo na majeraha kwa watu wengi

Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro, Rita Lyamuya amesema wameshapokea majeruhi 60, ambao kati yao wanaume ni 58 huku wanawake wakiwa ni wawili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’