Simba kuikabili UD Songo kwa tahadhari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Aug 2019
Simba kuikabili UD Songo kwa tahadhari

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo leo hautakuwa mwepesi lakini muhimu kwao ni kupata matokeo mazuri ugenini

Mida ya saa 10 jioni kwa saa za hapa Tanzania, Simba itashuka dimbani huko Beira Msumbiji kucheza na UD Songo ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali

Mbelgiji huyo amesema wanawaheshimu wapinzani wao ambao watakuwa nyumbani katika mchezo huo

"Tuna heshima kubwa kwa wapinzani wetu, na tunajua utakuwa mchezo mgumu. Tuna michezo miwili, kesho (leo) na mwingine Dar na lengo ni kufuzu hatua inayofata," amesema

Matokeo ya ushindi au sare kwa Simba yatakuwa ni matokeo mazuri kuelekea mchezo wa marudiano ambao utapigwa 'machinjioni' uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’