Kikosi cha Simba tayari kimewasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari ya kuelekea nchini Msumbiji
Simba inaondoka ausbuhi hii kwa usafiri wa ndege ya kukodi
Kesho saa 11 jioni kitakuwa ugenini kuumana na UD Songo




ADVERTISE HERE