Manara aibuka, awashangaa wanaomzushia kifo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2017
Manara aibuka, awashangaa wanaomzushia kifo
Mkuu wa itengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa Simba na Watanzania kwa ujumla wapuuze taarifa zinazosambaa kwenye mitandao kuwa ameaga dunia.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Manara amesema yeye yuko timamu wa Afya kabisa.

"Taarifa zinazoenezwa mitandaoni juu ya uhai wangu c kweli. Nipo hai na mzima wa afya kwa uwezo wa Mungu.

"Poleni nyote mliokuwa msibani kwa kupewa taarifa isiyo sahihi...poleni pia familia yangu.hususan mama na dada zangu," amesema Manara
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’