Simba kuifuata UD Songo kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Aug 2019
Simba kuifuata UD Songo kibabe

Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba unaondoka leo Ijumaa asubuhi kuelekea nchini Msumbiji tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo

Mchezo huo wa hatua ya awali, utapigwa kesho Jumamosi, August 10 2019

Mabingwa hao wa nchi wataondoka na ndege binafsi ya kukodi, watarejea kesho baada ya mchezo

Wachezaji wanne wa kikosi cha Aussems hawatasafiri kutokana na sababu mbalimbali

Mlinda lango Aishi Manula, kiungo Ibrahim Ajib na mshambuliaji Wilker Da Silva wote ni majeruhi

Haruna Shamte yeye usajili wake ulichelewa hivyo anaweza kuanza kuitumikia Simba kuanzia raundi ya pili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’