Kapombe ashukuru kwa kupona majeraha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Aug 2019
Kapombe ashukuru kwa kupona majeraha

Baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye mchezo dhidi ya Power Dynamo, beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe amewashukuru wote waliomtakia mema na hatimaye amerejea uwanjani

Mchezo wa juzi ulikuwa wa kwanza wa kimashindano kwa Kapombe ambaye amekuwa nje kwa zaidi ya miezi saba akisumbuliwa na majeraha

Kapombe amesema uvumilivu na imani kubwa aliyonayo imemuwezesha kurejea dimbani baada ya kukaa nje kwa muda mrefu

Lakini pia hakuacha kuwashukuru wote waliokuwa wakimtakia kheri ili aweze kurejea uwanjani

"Nachukuwa nafasi hii kushukuru kila aliyeshiriki kuniombe," amesema

"Namshukuru MUNGU kwa kila jaribu langu. Na hata pale nilipomkufuru na kulalamika kwa namna yoyote ile hakika ameendelea kuwa mbele yangu"

"Hakika maombi ya wengi husikilizwa haraka"

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
11h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
11h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
14h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’