Manula, Ajib kukosa safari ya Msumbiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Aug 2019
Manula, Ajib kukosa safari ya Msumbiji

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kitaondoka kesho Ijumaa August 09 kuelekea Msumbiji kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya UD Songo

Mabingwa hao wa nchi wataondoka bila ya nyota wake Aishi Manula, Ibrahim Ajib na Wilker Da Silva ambao ni majeruhi

Simba itakwenda Msumbiji kwa kutumia usafiri wa ndege ya kukodi na itarejea nchini baada ya mchezo utakaopigwa Jumamosi August 10

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’