Kipa wa Simba SC, Said Mohammed 'Nduda' aliyekuwa majeruhi tangu Agosti, mwishoni mwa wiki ameanza mazoezi ya gym taratibu katika jitihada za kurejea uwanjani Januari mwakani.
Nduda alifanyiwa upasuaji wa goti nchini India baada ya kupata majeruhi wakati wa maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga visiwani Zanzibar.

Yeye na Shomari Kapombe hawajaichezea Simba mchezo wowote tangu wasajiliwe mwezi Julai, 2017

ADVERTISE HERE