Kagere ameukaribisha msimu kibabe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Aug 2019
Kagere ameukaribisha msimu kibabe

Mshambuliaji hatari wa Simba Meddie Kagere jana aliukaribisha vyema msimu baada ya kufunga mabao matatu 'hat-trik' kwenye mchezo wa kuhitimisha SportPesa Simba Week

Mchezo huo uliopigwa mbele ya mashabiki karibu 60,000 wa Simba, ulimtambulisha Kagere yuleyule aliyekuwa bora msimu uliopita katika kuzifumania nyavu

Mabao hayo matatu aliyofunga jana, ni ishara nzuri kuwa mabingwa wa nchi, Simba wanauhakika wa kuendeleza ukali wao wa kutumbukiza mipira nyavuni licha ya kuondokewa na mmoja wa washambuliaji wake hatari Emmanuel Okwi

Msimu uliopita Kagere alifunga mabao 23 kwenye ligi, Bocco mabao 16 na Okwi mabao 14

Nafasi ya Okwi imechukuliwa na mshambuliaji aliyetoka TP Mazembe Deo Kanda ambaye naye alianza vyema

Kagere anatarajiwa kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Simba kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo ambao utapigwa Jumamosi August 10 nchini Msumbiji

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’