Uongozi wa klabu ya Simba umewashukuru wapenzi, wanachama na mashabiki wake kwa kufanikisha Sportpesa Simba Week ambayo ilihitimishwa jana kwa mchezo dhidi ya Power Dynamo
Mashabiki wa Simba walivunja rekodi ya kujitokeza kwa wingi, waliujaza uwanja wa Taifa huku maelfu wakikosa nafasi ya kuingia uwanjani baada ya tiketi kumalizika

ADVERTISE HERE