Aussems ataka Wabrazil wapewe muda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Aug 2019
Aussems ataka Wabrazil wapewe muda

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema hana wasiwasi na wachezaji wapya waliosajiliwa Afrika kuwa watafanikiwa hapa Tanzania lakini ametaka Wabrazil wapewe muda

Akizungumza jana kabla ya mchezo wa kuhimisha Sportpesa Simba Week, Aussems alisema wachezaji hao watahitaji kujifunza mambo kadhaa kabla ya kuanza kuonyesha makali yao

"Utamaduni wa soka la Brazil na Afrika ni tofauti. Sina shaka na uwezo wao lakini kuna mambo kadhaa kama lugha na uelewa wa soka la Afrika ni vitu ambavo watahitaji kujifunza," alisema

"Sina wasiwasi na Kanda, Shiboub na Kahata wao watafanikiwa hapa Tanzania kwa kuwa wanaufahamu mpira wa Afrika"

Simba imesajili Wabrazi watatu Gerson Fraga, Wailker Da Silva na Tairon Santos

Kwenye mchezo wa jana dhidi ya Power Dynamo ambao Simba ilishinda mabao 3-1, beki Tairon alianza kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’