TV Kubwa kuweka uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2019
TV Kubwa kuweka uwanja wa Uhuru

Wingi wa mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam katika maadhimisho ya Simba Day umewafanya viongozi wa klabu hiyo kufikiria kufunga TV kubwa kwenye Uwanja wa Uhuru ili watakaokwama kuingia uwanjani wakashuhudie huko.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuna uwezekano mashabiki wakazidi idadi ya tiketi, hivyo watakaosalia watafungiwa TV uwanja wa Uhuru ili wakashuhudie kwa kiingilio kidogo.

Akionyesha ripoti ya mauzo ya Selcom ambayo hadi saa 8 Mchana ilionyesha tiketi 54,734 zikiwa zimeshanunuliwa huku uwanja wa Taifa ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000.

"Zoezi la ununuaji wa tiketi linakwenda vizuri na itakapofika idadi ya mashabiki wanaojaza uwanja, tunaandaa utaratibu mwingine wale watakaokuwa hawana tiketi na wako nje ya uwanja wakashuhudie mechi uwanja wa uhuru ambako tutafunga skirini," alisema.

Alisema watakaoshuhudia kwenye uwanja wa Uhuru watalipa kiingilio cha Sh2000.

"Simba haibahatishi, hamasa ya mashabiki iliyojitokeza ni ishara tosha upande wa pili hawatuwezi, pamoja na kwamba leo ni siku ya kazi," alisema Magori.

Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’