Mkude awataka wachezaji wajitume Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2017
Mkude awataka wachezaji wajitume Simba
Kiungo na aliyewahi kuwa nahodha wa Simba, Jonas Mkude amewataka wachezaji wenzake kutambua thamani ya kuvaa jezi ya Simba kwa kuhakikisha wanaipigania mpaka wabebe ndoo haswa kutokana na uwekezaji wa Mohammed Dewji Γ’β‚¬ΛœMOÒ€ℒ.

Simba inaongoza msimamo wa ligi kuu kwa kuwa na pointi 23, sawa na Azam FC wakipishana idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Mkude ambaye anasimamiwa na meneja, Richard Kiwale, alisema kuwa, kutokana na klabu hiyo kuingia katika mabadiliko ya kimfumo kwa timu kukabidhiwa kwa MO kuna kila sababu ya wachezaji kutambua thamani ya jezi zao.

"MO ni mtu sahihi Simba, niipongeze klabu kuweza kumpatia timu, ni mtu mwenye mapenzi ya dhati ya kuifikisha Simba mbali. Hivyo kutokana na uwepo wake ni vyema kwa wachezaji wajitolee na kucheza kwa moyo wote pia kujua umuhimu na thamani ya jezi ya Simba ili kutwaa ubingwa msimu huu,Ò€ alisema Mkude ambaye kabla msimu haujaanza alihusishwa kutaka kujiunga na Yanga.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’