Mashabiki wa Simba wameendelea kuingia kwa wingi uwanja wa Taifa tayari kwa kilele cha wiki ya SportPesa na Simba
Kwa mara nyingine, mashabiki wa mabingwa hao wa nchi wanakwenda kudhihirisha ukubwa wa Simba hapa Tanzania
Kwa wale wanaochelewa kwenda uwanjani, pengine wanaweza kukuta mageti yamefungwa baada ya uwanja wa kujaa!
Shamrashamra zinatarajiwa kuanza saa kumi jioni
ADVERTISE HERE