Mapema tu mashabiki wa klabu ya Simba wameanza kuingia uwanjani tayari kwa tukio la kuhitimisha Sportpesa Simba Week
Shamrashamra zinatarajiwa kuanza saa kumi jioni lakini ni vyema kuwahi ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza baadae
Mchezo kati ya Simba dhidi ya Power Dynamo utapigwa kuanzia saa 11 na nusu



ADVERTISE HERE