Njooni Taifa mumuone Shiboub

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2019
Njooni Taifa mumuone Shiboub

Jina la kiungo mpya wa Simba Sharaff Elden Shiboub limezungumzwa sana kutokana na uwezo mkubwa alioonyesha kwenye mazoezi na michezo ya kirafiki nchini Afrika Kusini

Shiboub amezungumzwa sana, sio na mashabiki tu, bali hata na wachezaji wenzake na makocha

Shiboub ametua Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Al Hilal ya Sudan

Ni mmoja wa wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba kipindi hiki akiungana na nyota wengine 11

Msemaji wa Simba Haji Manara ambaye ndiye mshereheshaji Mkuu wa Simba Day, amesema leo atakuja na utaratibu mpya wa kutambulisha wachezaji

Amesema baada ya Yanga kuiga utaratibu wake, leo atakuja kivingine kabisa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’