Dk Mwakyembe awatahadharisha waliovamia eneo la uwanja wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Aug 2019
Dk Mwakyembe awatahadharisha waliovamia eneo la uwanja wa Simba

Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dr. Harisson Mwakyembe amewataka wavamizi wa eneo la uwanja wa klabu ya Simba kuanza kubomoa nyumba zao haraka sana.

Akizungumza leo katika uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa viwanja vya klabu hiyo, Dkt Mwakyembe alisema;

"Nitawaomba viongozi wa Simba kuniletea malalamiko yao kwa njia ya maandishi na mimi nitayafikisha kwa Waziri mwenzangu anayehusika na masuala ya ardhi awashughulikie haraka iwezakanavyo," amesema

Kauli hiyo imekuja mara baada ya Mtendaji mkuu wa klabu hiyo, Crescentius Magori kumuomba Mwakyembe kuwaondoa wavamizi wa eneo la uwanja wao uliopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Dk Mwakyembe pia ameutaka uongozi wa Simba kuendelea na mchakato wa uwekazekaji ambao wamekwisha uanza.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’