Tiketi Simba Day zinapatikana Selcom

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2019
Tiketi Simba Day zinapatikana Selcom

Leo Jumanne, August 06 wenye shughuli yao Simba watakuwa uwanja wa Taifa kuadhimisha miaka 10 ya Tamasha la SIMBA DAY

Ndio, ni miaka kumi sasa tangu Simba ianze kufanya Tamasha hilo ambalo sasa linaigwa na timu nyingine hapa nchini

Kauli mbiu ya mwaka huu ni IGA UFE THIS IS NEXT LEVEL

Tamasha hilo linafanyika August 06 badala ya August 08 tarehe iliyozoeleka kutokana na mabadiliko ya ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa

August 09 Simba itakuwa nchini Msumbiji kuikabili UD Songo kwenye mchezo wa awali wa ligi ya mabingwa

Tiketi zinapatikana kupitia Mawakala wote wa Selcom na vituo vifuatavyo;

Kabla ya mchezo wa Simba dhidi ya Power Dynamo ambao utapigwa saa 11:30 jioni, kutakuwa na michezo ya utangulizi kwa timu za vijana na Wanawake

Pia kutakuwa na matukio mbalimbali ya burudani likiwemo tukio maalum la utambulisho wa wimbo rasmi wa klabu ya Simba

Tukio kubwa linalosubiriwa kwa hamu ni utambulisho wa kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania Bara ambacho kimesheheni mafundi

Simba iliweka kambi Afrika Kusini na kambi hiyo ilikuwa na mafanikio makubwa

Mabingwa hao wa nchi walishinda michezo miwili na kutoka sare michezo miwili

Miongoni mwa michezo waliyocheza ni dhidi Township Rollers na Orlando Pirates

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’