Wachezaji wa Mabingwa wa nchi wakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji wametembelea vituo viwili vya watoto yatima (Makao ya Taifa ya Watoto Kurasini na Malaika Kids) ili kutoa misaada ikiwa ni sehemu ya shughuli ambazo zinafanywa katika SportPesa Simba Week






ADVERTISE HERE