Mlinda lango Juma Kaseja ameibuka shujaa huko Kenya baada ya kuisaidia Tanzania kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-1 baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana
Kaseja alidaka moja ya mikwaju ya penati ya Kenya
Tanzania sasa itachuana na Sudan kwenye raundi inayofuata ambapo kama itashinda basi itajihakikishia tiketi ya kucheza fainali za CHAN 2020 zitakazofanyika Cameroon
ADVERTISE HERE