Siku tatu kuelekea Simba Day, uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wa timu hiyo kuchangamkia tiketi za Platinum na Platinum Plus ambazo zinapatikana kwa bei ya Tsh 100,000/- na Tsh 150,000/-
Watakaonunua tiketi hizo watapata huduma zaidi kulinganisha na wale ambao watanunua tiketi za kawaida
Kwa wanaohitaji tiketi hizi wapige simu namba 0766149644

ADVERTISE HERE