Uongozi wa klabu ya Simba umewataka wapenzi, mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kujitokeza kote nchini katika zoezi la kutembelea Hospitali na kutoa misaada kwa wahitaji
Aidha, majira ya saa saba mchana, uongozi wa timu hiyo utatembelea Hospitali ya Ocean Road kuwapa pole wagonjwa
Simba inaendelea na maadhimisho ya Sportpesa Simba Week ambayo yatafikia tamati August 06 2019

ADVERTISE HERE