Katika maadhimisho ya Sportpesa Simba Week, klabu ya Simba leo iliendesha zoezi la uchangiaji wa damu maeneo ya stendi za mabasi Mbagala na Ubungo
Baadhi ya mashabiki walijitokeza katika zoezi hilo ambalo pia litaendelea siku ya kesho Jumamosi, August 03 2019



ADVERTISE HERE