Wachezaji wa Simba leo walipata nafasi ya kutembelea ofisi za kampuni ya Azam Media, mmoja wa wadhamini wa timu hiyo
Ziara hiyo ilikuwa maalum kuwapa nafasi wachezaji kujifunza mambo mbalimbali nje ya kazi yao ya kusakata kabumbu


ADVERTISE HERE