Power Dynamos kuwasili Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Aug 2019
Power Dynamos kuwasili Jumapili

Mabingwa wa zamani wa ligi kuu ya Zambia, Power Dynamos ambao watacheza na Simba August 06 siku ya Tamasha la Simba Day, wanatarajiwa kuwasili nchini keshokutwa Jumapili

Wakati wao wakiwasili Jumapili, Simba tayari imerejea jijini Dar es salaam tangu juzi kutoka Afrika Kusini ambako iliweka kambi ya wiki mbili

Mabingwa hao wa nchi jana waliendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo huo ambao watautumia kwa maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo AUgust 10 huko Msumbiji

Shamrashamra kuelekea mchezo huo zinazidi kupamba moto ambapo wakati huu Wanamsimbazi kote nchini wanaendelea na maadhimisho ya Sportpesa Simba Week

Leo kutakuwa na zoezi la uchangiaji damu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’