Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba leo kimeendelea na mazoezi jijini Dar es salaam baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini
Simba ilitua nchini jana akitokea kwa 'Madiba' ambako iliweka kambi ya wiki mbili
Mabingwa hao wa nchi wanajiandaa na Simba Day, August 06 ambapo watachuana na Power Dynamo



ADVERTISE HERE