Uongozi wa klabu ya Simba umeweka hadharani viingilio vya Tamasha la Simba Day litakalofanyika uwanja wa Taifa, August 06 2019
Siku hiyo Simba itachuana na Power Dynamo kwenye mchezo mkali wa kukata na shoka ambao utatumika kukitambulisha kikosi cha Simba kwa ajili ya msimu wa 2019/20
Kutakuwa na tiketi za Platinum Plus ambao zitapatikana kwa Tsh 150,000/- huku tiketi za Platinum zikipatikana kwa Tsh 100,000/-
Kwa wanaohitaji tiketi hizi wanapaswa kuwasiliana na namba +255 745 346 687
VIP A ni Tsh 30,000/-
VIP B na C ni Tsh 15,000/-
Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE