Katika maadhimisho ya Sportpesa Simba Week, klabu ya Simba itaendesha zoezi la kuchangia damu kwa kushirikiana na mpango wa Taifa wa damu salama
Zoezi hilo litafanyika August 02-03

ADVERTISE HERE