Aussems kutumia Simba Day kupima kikosi cha kwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Aug 2019
Aussems kutumia Simba Day kupima kikosi cha kwanza

Kuelekea Tamasha la Simba Day, Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema anatarajia siku hiyo itakuwa nzuri na muhimu kwao kufanya vizuri

Aussems alisema siku hiyo ndiyo itakuwa ya mwisho ya kukipima kikosi chake kuelekea mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, ambao utachezwa ugenini August 10

Mbelgiji huyo alisema anatarajia kuona idadi kubwa ya mashabiki wanajitokeza uwanjani ili kushuhudia wachezaji wao wapya huku pia nyota wake waliokuwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiungana na wenzao mapema Jumatatu.

"Sasa hivi tunaelekeza nguvu zetu kwa ajili ya Simba Day, itakuwa ni siku ya kufurahia, ni mechi ambayo itakuwa ni ya mwisho kabla ya kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika," amesema

"Ni mechi muhimu kwetu, na ni mechi muhimu kwa timu, natarajia kuona idadi kubwa ya mashabiki kuja kuwaona wachezaji wao wapya"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’