Shiza Kichuya ameibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Stand United uliopoigwa kwenye dimba la Kambarage mkoani Shinyanga jana.
Katika mchezo huo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 Kichuya akiwa mmoja wa wafungaji wa mabao ya Simba.
Winga huyo tereza ameendeleza makali yake ya msimu uliopita kwani mpka sasa ameshaifungia Simba mabao matatu

ADVERTISE HERE