Shamte atajwa kukamilisha usajili wa ndani Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jul 2019
Shamte atajwa kukamilisha usajili wa ndani Simba

Kiraka Haruna Shamte inaelezwa kuwa amemalizana na uongozi wa Simba akisaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara

Shamte anayemudu vyema kucheza nafasi za ulinzi na kiungo, msimu uliopita aliitumikia Lipuli Fc

Dirisha la usajili Tanzania litafungwa leo saa 5:59 usiku, Shamte anatajwa kukamilisha usajili wa Simba kwa wachezaji wa ndani

Shamte amesajiliwa Simba kuongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi wa kulia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’