Esperance yarudishiwa ubingwa wa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jul 2019
Esperance yarudishiwa ubingwa wa Afrika

Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa michezo (CAS) imetupilia mbali uamuzi wa CAF kutaka mchezo wa fainali ligi ya mabingwa kati ya Esperance dhidi ya Wydad Athletic kurudiwa

Kufuatia kuvunjika kwa mchezo wa marudiano uliopigwa jiji la Tunis

CAS imehalalisha ubingwa wa Esperance hivyo timu hiyo itakabidhiwa tena kombe ambalo waliamuliwa walirejeshe CAF pamoja na medali

Fainali ya awali kati ya Wydad na Esperance De Tunis iliingia dosari baada ya mwamuzi kukataa bao la kusawazisha la Wydad

Wachezaji wa Wydad waligoma kuendelea na mchezo wakishinikiza mwamuzi kwenda kurudia bao hilo kwenye mfumo wa VAR ambao hata hivyo haukuwa ukifanya kazi

Tayari CAF imetangaza kufuta mfumo wa michezo miwili ya fainali ambapo kuanzia msimu ujao kutakuwa na mchezo mmoja wa fainali ambao utapigwa kwenye uwanja huru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’