Simba Queens inamalizia ziara yake ya wiki mbili nchini Ujerumani
Ikiwa nchini humo, Simba Queens imeshiriki mashindano yaliyoandaliwa na wenyeji wao ambapo katika michezo nane ambayo imecheza, imeshinda michezo saba, sare moja, na imefunga jumla ya magoli 29




ADVERTISE HERE