Simba bado ina nafasi ya mchezaji mmoja wa kigeni kwenye kikosi chake na taarifa za uhakika ni kuwa nafasi hiyo itajazwa
Uongozi wa timu hiyo umepanga kumtambulisha mchezaji mpya kama 'suprise' kwa mashabiki wake siku ya Simba Day August 6, 2019
Mchezaji huyo hajatajwa kwa wanachama wala mashabiki, wanaofahamu ni baadhi ya viongozi, lakani ataonekana kwa mara ya kwanza siku ya Simba Day
Je atakuwa nani huyo? tusubiri..
ADVERTISE HERE