Baada ya mapumziko ya siku mbili kikosi cha Simba kimeendelea kujifua leo kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Green Worriors Disemba 22.
Wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Stars kilichoshiriki michuano ya Chalenji nchini Kenya nao wameungana na wenzao.
Bado mazoezi yanaendelea kusimamiwa na kocha msaidizi Masoud Djuma.

ADVERTISE HERE