Majeraha yamuondoa Ajib kikosi cha Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Jul 2019
Majeraha yamuondoa Ajib kikosi cha Stars

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Star' Etienne Ndayiragije amesema kiungo Ibrahim Ajib hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachoikabili Kenya August 04 kutokana na kuwa majeruhi

Ndayiragije amesema Ajib ameondolewa kikosini kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya goti

Ajib alicheza mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa Julai 28 na Stars kulazimishwa suluhu ya bila kufungana

Allingia kwenye dakika ya 53 kuchukua nafasi ya Ayoub Lyanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’