FT : Orlando Pirates 1-1 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jul 2019
FT : Orlando Pirates 1-1 Simba

Mchezo wa kirafiki kati ya mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya bao 1-1

Mabao ya timu zote yalipatikana kwenye kipindi cha kwanza Simba ikitangulia kufunga kupitia kupitia kwa Clatous Chama kwenye dakika ya 33 na Mulenga akaisawazishia Pirates kwenye dakika ya 40

Huo ulikuwa mchezo wa mwisho wa kujipima kwa kikosi cha Simba kilichoweka kambi Afrika Kusini tangu Julai 17 2019

Simba imecheza michezo minne nchini humo, ikishinda 4-0 dhidi ya Orbit Tvet, mabao 4-1 dhidi ya Platinum Stars kisha kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Townshoip Rollers

Mabingwa hao wa nchi wanatarajiwa kurudi Tanzania kesho Jumatano, Julai 31 2019

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’