Mechi dhidi ya UD Songo kupigwa August 10

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jul 2019
Mechi dhidi ya UD Songo kupigwa August 10

Klabu ya UD do Songo ya Msumbiji imepanga mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa hatua ya awali dhidi ya Simba, utapigwa August 10 saa kumi kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amethiitisha kupokea barua kutoka CAF inayothibitisha tarehe na muda wa mchezo

Simba kwenda Msumbiji kwa ndege binafsi

Katika hatua nyingine, uongozi wa Simba uko kwenye mchakato wa kukodi ndege binafsi kwa ajili ya safari ya Msumbiji

Simba imelazimika kuchukua hatua hiyo ili kuwapunguzia wachezaji uchovu wa safari

Mchezo huo utapigwa siku nne baada ya Tamasha la Simba Day litakalofanyika August 06 kwenye uwanja wa Taifa

Mabingwa hao wa nchi watakuwa na siku mbili za maandalizi baada ya Simba Day kabla ya kuikabili UD do Songo ugenini

"Tayari nimepata barua pepe kutoka Caf na TFF kuwa De Songo wamechagua mechi kufanyika Agosti 10 na itakuwa saa 10:00 kwa saa za Afrika Mashariki," Magori aliwaambia waandishi wa habari jana

"Tunajua muda hautoshi kwani wiki nzima tutakuwa katika harakati za Simba Day"

"Utaratibu unafanywa na kama Mungu akipenda tunaweza kupata ndege binafsi ili timu iende ndege hiyo moja kwa moja icheze mechi Msumbiji kisha igeuze kurudi Dar es Salaam"

"Tunafanya yote hayo ili kupunguza uchovu wa wachezajii kutokana na mizunguko mirefu kwa ndege za kawaida"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’