Kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kukamilisha ratiba yake ya kambi Afrika Kusini kwa kucheza na Orlando Pirates
Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanatarajiwa kurejea nchini kesho Jumatano baada ya kujifua Afrika Kusini kwa takribani wiki mbili
Kwenye maandalizi hayo, Simba imecheza michezo mitatu mpaka sasa, wakishinda miwili na kutoka sare mchezo mmoja
Jana chini ya kocha Patrick Aussems walifanya maandalizi ya mwisho tayari kuikabili Orlando Pirates, mabingwa wa Curling Cup





ADVERTISE HERE