Iga Ufe 'this is next level'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2019
Iga Ufe 'this is next level'

Iga Ufe this is next level ndio Slogan aliyokuja nayo Msemaji wa Simba Haji Manara kuadhimisha miaka kumi ya Tamasha la Simba

Baada ya Mtendaji wa Simba Crescentius Magori kutangaza kuanza kwa maadhimisho ya Wiki ya Simba yatakayofahamika kama SportPesa Simba Wiki, Manara amesema wamejipanga kufanya kitu tofauti kabisa

"Sasa hivi kila timu inaiga tu tamasha la Wiki na Simba Day," amesema

"Tunataka tuwaisaidie wanapoiga basi wafanye kwa ubora lakini tunawashukuru sana kwa kutuiga."

"Kitu ambacho hawawezi kuiga ni ratiba ya Simba kwa sababu wanachofanya sisi tumeshavuka huko zamani sana"

Wiki ya Simba inatarajiwa kuanza keshokutwa Jumatano Julai 31 2019

Kauli mbiu itakayotumiwa mwaka huu ni Iga Ufe this is next level

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’