Mo Rashidi kumaliza mkataba wake JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2019
Mo Rashidi kumaliza mkataba wake JKT Tanzania

Mshambuliaji wa Simba Mohammed Rashid amejiunga na maafande wa JKT Tanzania kwa mkataba wa mwaka mmoja ukiwa ni mkopo kutoka klabu ya Simba

Mo Rashid tayari ameelekea visiwani Zanzibar kujiunga na kambi ya timu hiyo

Msimu uliopita Mo Rashid aliitumikia KMC kwa mkopo wa miezi sita, hata hivyo uongozi wa Simba umeamua kumtoa tena kwa mkopo

Kwa kuwa mkataba wake na Simba unamalizika mwishoni mwa msimu, Mo Rashidi atakuwa mchezaji huru mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’