Wiki ya Simba kuanza Julai 31

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2019
Wiki ya Simba kuanza Julai 31

Kutokana na mabadiliko ya ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika hatua ya awali, Tamasha la Simba Day ambalo hufanyika August 08 kila mwaka, limerudishwa nyuma ambapo sasa litafanyika August 06 2019

Kwa kawaida wiki moja kabla ya Tamasha hilo, Wana Msimbazi hujitolea kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii

Kuanzia Julai 31 wiki ya Simba inatarajiwa kuanza na itahitimishwa siku ya kilele, August 06 kwa mchezo wa kirafiki kupigwa kati ya Simba dhidi ya Power Dynamos ya Zambia

Siku hiyo itatumika kutambulisha kikosi cha mabingwa hao wa nchi pamoja na jezi rasmi zitakazotumika msimu ujao

Msimu ujao Simba itatumia jezi za aina tatu tofauti, nyekundu, nyeupe na kijivu

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori leo anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari

Simba Day itakuwa moja ya ajenda kwenye Mkutano huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’