Taifa Stars leo jioni itashuka katika dimba la Taifa kuikabili Harambee Stars kwenye mchezo wa kusaka nafasi ya kushiriki fainali za CHAN 2020 zinazohusisha wachezaji wa ndani
Kikosi kinachoanza mchezo wa leo, kimejumuisha wachezaji watano kutoka klabu ya Simba
Aidha kikosi hicho pia kimemrejesha langoni mkongwe Juma Kaseja aliyechukua nafasi ya Aishi Manula ambaye ni majeruhi
Kikosi kamili;

ADVERTISE HERE