Stars uso kwa uso dhidi ya Kenya leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jul 2019
Stars uso kwa uso dhidi ya Kenya leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inatupa karata muhimu kwa kucheza na Kenya katika mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za CHAN zinazohusisha wachezaji wa ndani

Mchezo huu ni wa kisasi kwa Stars kwani baada ya kufungwa na Harambee Stars mabao 3-2 kwenye michuano ya Afcon mwezi uliopita nchini Misri, hii ni nafasi kwa Stars kujisahihisha

Kaimu Kocha Mkuu wa kikosi cha Stars Etienne Ndayiragije amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo huo na wana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi

Simba kutoa Milioni 10

Katika hatua nyingine, uongozi wa klabu ya Simba umeahidi kutoa Milioni 1o kwa Stars kama itafanikiwa kuibuka na ushindi leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’