Mo avunja ukimya sintofahamu ya wawekezaji watatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2019
Mo avunja ukimya sintofahamu ya wawekezaji watatu

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema sheria ya kutaka wawekezaji watatu na kuendelea kumilikishwa hisa asilimia 49 ilikuwepo tangu mwaka 2017 wakati anaingia

Hata hivyo, Mo amesema Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dk Harisson Mwakyembe aliiruhusu Simba kuanza na muwekezaji mmoja

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Mo ameandika;

"Nimesikitishwa na mijadala mitandaoni ya kumshutumu Waziri Mwakyembe kwamba ameanzisha utaratibu mpya wa mwekezaji kuwa na 49% na wanachama 51% ya hisa.

"Ndugu zangu, si kweli, utaratibu huu upo tangu 2017 kisheria na sisi Simba tulikubali"

"Waziri Mwakyembe alituruhusu SIMBA tuendelee na Mwekezaji mmoja"

"Ndugu WanaSimba Mimi nipo na niko na nyinyi, siendi popote"

"Na sasa tumeishazungumza na Serikali na mazungumzo ni mazuri"

"Nawasihi WanaSimba wote twendeni tukaishangilie Timu ya Taifa na tukutane Simba Day tarehe 6"

"Tulianza vizuri na Serikali na tutamaliza vizuri na Serikali"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’